×

Na Musa alisema: Mkikufuru nyinyi na wote waliomo duniani, hakika Mwenyezi Mungu 14:8 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ibrahim ⮕ (14:8) ayat 8 in Swahili

14:8 Surah Ibrahim ayat 8 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 8 - إبراهِيم - Page - Juz 13

﴿وَقَالَ مُوسَىٰٓ إِن تَكۡفُرُوٓاْ أَنتُمۡ وَمَن فِي ٱلۡأَرۡضِ جَمِيعٗا فَإِنَّ ٱللَّهَ لَغَنِيٌّ حَمِيدٌ ﴾
[إبراهِيم: 8]

Na Musa alisema: Mkikufuru nyinyi na wote waliomo duniani, hakika Mwenyezi Mungu ni Mkwasi, Anajitosha, Msifiwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وقال موسى إن تكفروا أنتم ومن في الأرض جميعا فإن الله لغني, باللغة السواحيلية

﴿وقال موسى إن تكفروا أنتم ومن في الأرض جميعا فإن الله لغني﴾ [إبراهِيم: 8]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na akawaambia, «Mkimkanusha Mwenyezi Mungu , nyinyi na watu wa ardhini, hamtamdhuru Mwenyezi Mungu kitu chochote. Kwani Mwenyezi mungu ni Mkwasi kutowahitajia viumbe Vyake, ni mstahiki wa kushukuriwa na kusifiwa, ni mshukuriwa kwa hali zote.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek