Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 20 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿وَجَعَلۡنَا لَكُمۡ فِيهَا مَعَٰيِشَ وَمَن لَّسۡتُمۡ لَهُۥ بِرَٰزِقِينَ ﴾
[الحِجر: 20]
﴿وجعلنا لكم فيها معايش ومن لستم له برازقين﴾ [الحِجر: 20]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukawawekea nyinyi humo vitu mnavyovihitajia katika maisha yenu miongoni mwa makulima, wanyama, aina mbalimbali ya shughuli za kujipatia maisha na vinginevyo. Na tukawaumbia nyinyi watoto, watumishi na wanyama manaonufaika nao. Na riziki zao haziko juu yenu, bali ziko juu ya Mwenyezi Mungu Bwana wa viumbe vyote kwa wema utokao Kwake na ukarimu |