Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 21 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿وَإِن مِّن شَيۡءٍ إِلَّا عِندَنَا خَزَآئِنُهُۥ وَمَا نُنَزِّلُهُۥٓ إِلَّا بِقَدَرٖ مَّعۡلُومٖ ﴾
[الحِجر: 21]
﴿وإن من شيء إلا عندنا خزائنه وما ننـزله إلا بقدر معلوم﴾ [الحِجر: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hakuna chochote cha manufaa ya waja isipokuwa ziko kwetu hazina zake za kila aina, na hatukiteremshi isipokuwa kwa kadiri iliyowekewa mpaka, kama vile tutakavyo. Hazina zote ziko mkononi mwa Mwenyezi Mungu, Anampa Anayemtaka na Anamzuilia Anayemtaka, kulingana na rehema Yake kunjufu na hekima Yake kubwa |