Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 54 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿قَالَ أَبَشَّرۡتُمُونِي عَلَىٰٓ أَن مَّسَّنِيَ ٱلۡكِبَرُ فَبِمَ تُبَشِّرُونَ ﴾
[الحِجر: 54]
﴿قال أبشرتموني على أن مسني الكبر فبم تبشرون﴾ [الحِجر: 54]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ibrāhīm akasema, huku yuwaona ajabu, «Mnanipa habari njema za kupata mwana na mimi nishakuwa mtu mzima, na mke wangu pia, ni kwa njia gani mnanipa habari njema hizo za kushangaza?» |