Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 55 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿قَالُواْ بَشَّرۡنَٰكَ بِٱلۡحَقِّ فَلَا تَكُن مِّنَ ٱلۡقَٰنِطِينَ ﴾
[الحِجر: 55]
﴿قالوا بشرناك بالحق فلا تكن من القانطين﴾ [الحِجر: 55]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakasema, «Tunakupa habari njema kwa kweli ambayo Mwenyezi Mungu Ametujulisha nayo. Basi usiwe miongoni mwa waliokata tamaa ya wewe kupata mwana.» |