Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 101 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿وَإِذَا بَدَّلۡنَآ ءَايَةٗ مَّكَانَ ءَايَةٖ وَٱللَّهُ أَعۡلَمُ بِمَا يُنَزِّلُ قَالُوٓاْ إِنَّمَآ أَنتَ مُفۡتَرِۭۚ بَلۡ أَكۡثَرُهُمۡ لَا يَعۡلَمُونَ ﴾
[النَّحل: 101]
﴿وإذا بدلنا آية مكان آية والله أعلم بما ينـزل قالوا إنما أنت﴾ [النَّحل: 101]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tunapoibadilisha aya kwa aya nyingine, na Mwenyezi Mungu Mwenye kuumba ni Anayajua zaidi maslahi ya viumbe Wake kwa hukumu Anazoziteremsha katika nyakati mbalimabali, makafiri wanasema, «Hakika yako wewe, Ewe Muhammad, ni mrongo mwenye kumzulia Mwenyezi Mungu Asiyoyasema.» Na Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amni zimshukiye, si kama wanavyodai. Lakini wengi wao hawana ujuzi juu ya Mola wao wala kuhusu Sheria Yake na hukumu Zake |