Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 100 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿إِنَّمَا سُلۡطَٰنُهُۥ عَلَى ٱلَّذِينَ يَتَوَلَّوۡنَهُۥ وَٱلَّذِينَ هُم بِهِۦ مُشۡرِكُونَ ﴾
[النَّحل: 100]
﴿إنما سلطانه على الذين يتولونه والذين هم به مشركون﴾ [النَّحل: 100]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Uwaezo wake wa kusaliti ni juu ya wale waliomfanya yeye ni msaidizi wao na wakamtii na wale ambao wao, kwa sababu ya kumtii yeye, wanamshirikisha Mwenyezi Mungu Aliyetukuka |