Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 111 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿۞ يَوۡمَ تَأۡتِي كُلُّ نَفۡسٖ تُجَٰدِلُ عَن نَّفۡسِهَا وَتُوَفَّىٰ كُلُّ نَفۡسٖ مَّا عَمِلَتۡ وَهُمۡ لَا يُظۡلَمُونَ ﴾
[النَّحل: 111]
﴿يوم تأتي كل نفس تجادل عن نفسها وتوفى كل نفس ما عملت﴾ [النَّحل: 111]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wakumbushe wao, ewe Mtume, Siku ya Kiyama pindi itakapokuja kila nafsi ikijitetea yenyewe na kutoa nyudhuru za kila aina, na hapo Mwenyezi Mungu Ailipe kila nafsi malipo ya ilichokifanya bila ya kuidhulumu. Hatawaongezea mateso wala hawatapunguzia malipo yao |