Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 117 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿مَتَٰعٞ قَلِيلٞ وَلَهُمۡ عَذَابٌ أَلِيمٞ ﴾ 
[النَّحل: 117]
﴿متاع قليل ولهم عذاب أليم﴾ [النَّحل: 117]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Starehe walionayo duniani na starehe yenye kuondoka na ni chache. Na huko Akhera watapata adhabu iumizayo  |