×

Je! Hawavioni vitu alivyo viumba Mwenyezi Mungu - vivuli vyao vinaelekea kushotoni 16:48 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:48) ayat 48 in Swahili

16:48 Surah An-Nahl ayat 48 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 48 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿أَوَلَمۡ يَرَوۡاْ إِلَىٰ مَا خَلَقَ ٱللَّهُ مِن شَيۡءٖ يَتَفَيَّؤُاْ ظِلَٰلُهُۥ عَنِ ٱلۡيَمِينِ وَٱلشَّمَآئِلِ سُجَّدٗا لِّلَّهِ وَهُمۡ دَٰخِرُونَ ﴾
[النَّحل: 48]

Je! Hawavioni vitu alivyo viumba Mwenyezi Mungu - vivuli vyao vinaelekea kushotoni na kuliani, kumsujudia Mwenyezi Mungu na vikinyenyekea

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أو لم يروا إلى ما خلق الله من شيء يتفيأ ظلاله عن, باللغة السواحيلية

﴿أو لم يروا إلى ما خلق الله من شيء يتفيأ ظلاله عن﴾ [النَّحل: 48]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Je, kwani makafiri hawa wamekuwa vipofu wakawa hawaangalii vitu venye vivuli Alivyoviumba Mwenyezi Mungu, kama vile majabali na miti ambayo vivuli vyake vinapinduka, mara nyingine upande wa kulia na mara nyingine upande wa kushoto, kufuatia mwendo wa jua kipindi cha mchana na mwendo wa mwezi kipindi cha usiku.Vyote hivyo ni vyenye kuunyenyekea ukuu wa Mwenyezi Mungu na utukufu Wake. Navyo viko chini ya uendeshaji Wake, mipango Yake na utendeshaji nguvu Wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek