Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 82 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿فَإِن تَوَلَّوۡاْ فَإِنَّمَا عَلَيۡكَ ٱلۡبَلَٰغُ ٱلۡمُبِينُ ﴾
[النَّحل: 82]
﴿فإن تولوا فإنما عليك البلاغ المبين﴾ [النَّحل: 82]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakikupa mgongo, ewe Mtume, baada ya kuziona hizi aya, basi usisikitike. Kwani jukumu lako ni kuufikisha ujumbe uliotumwa nao waziwazi, ama kuongoa ni kwetu sisi |