×

Wanazijua neema za Mwenyezi Mungu, kisha wanazikanusha; na wengi wao ni makafiri 16:83 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:83) ayat 83 in Swahili

16:83 Surah An-Nahl ayat 83 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 83 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿يَعۡرِفُونَ نِعۡمَتَ ٱللَّهِ ثُمَّ يُنكِرُونَهَا وَأَكۡثَرُهُمُ ٱلۡكَٰفِرُونَ ﴾
[النَّحل: 83]

Wanazijua neema za Mwenyezi Mungu, kisha wanazikanusha; na wengi wao ni makafiri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: يعرفون نعمة الله ثم ينكرونها وأكثرهم الكافرون, باللغة السواحيلية

﴿يعرفون نعمة الله ثم ينكرونها وأكثرهم الكافرون﴾ [النَّحل: 83]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Washirikina hawa wazijua neema za Mwenyezi Mungu juu yao za kutumilizwa Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, kwao, kisha wanaukanusha utume wake. Na wengi wa watu wake ni wale wanaoukanusha utume wake na sio wanaoukubali
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek