Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 22 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿لَّا تَجۡعَلۡ مَعَ ٱللَّهِ إِلَٰهًا ءَاخَرَ فَتَقۡعُدَ مَذۡمُومٗا مَّخۡذُولٗا ﴾
[الإسرَاء: 22]
﴿لا تجعل مع الله إلها آخر فتقعد مذموما مخذولا﴾ [الإسرَاء: 22]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Usimfanye, ewe mwanadamu, pamoja na Mwenyezi Mungu mshirika yoyote katika ibada Yake, kwani ukifanya hivyo utarudi uwe ni mwenye kutukanika na kuhizika |