×

Kwani wao wakikutambueni watakupigeni mawe, au watakurudisheni katika dini yao; na hapo 18:20 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Kahf ⮕ (18:20) ayat 20 in Swahili

18:20 Surah Al-Kahf ayat 20 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 20 - الكَهف - Page - Juz 15

﴿إِنَّهُمۡ إِن يَظۡهَرُواْ عَلَيۡكُمۡ يَرۡجُمُوكُمۡ أَوۡ يُعِيدُوكُمۡ فِي مِلَّتِهِمۡ وَلَن تُفۡلِحُوٓاْ إِذًا أَبَدٗا ﴾
[الكَهف: 20]

Kwani wao wakikutambueni watakupigeni mawe, au watakurudisheni katika dini yao; na hapo hamtafanikiwa kabisa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إنهم إن يظهروا عليكم يرجموكم أو يعيدوكم في ملتهم ولن تفلحوا إذا, باللغة السواحيلية

﴿إنهم إن يظهروا عليكم يرجموكم أو يعيدوكم في ملتهم ولن تفلحوا إذا﴾ [الكَهف: 20]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kwa hakika watu wenu wakiwagundua mulipo watawapiga mawe wawaue au watawarudisha kwenye dini yao muwe makafiri, na mkifanya hivyo basi hamtafaulu kabisa kupata matakwa yenu ya kuingia Peponi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek