Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 8 - الكَهف - Page - Juz 15
﴿وَإِنَّا لَجَٰعِلُونَ مَا عَلَيۡهَا صَعِيدٗا جُرُزًا ﴾
[الكَهف: 8]
﴿وإنا لجاعلون ما عليها صعيدا جرزا﴾ [الكَهف: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na sisi, dunia imalizikapo, ni wenye kuvifanya vilivyoko juu ya ardhi, kati ya hilo pambo, viwe mchanga usio na mimea |