×

Bali unadhani ya kwamba wale Watu wa Pangoni na Maandishi walikuwa ni 18:9 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Kahf ⮕ (18:9) ayat 9 in Swahili

18:9 Surah Al-Kahf ayat 9 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 9 - الكَهف - Page - Juz 15

﴿أَمۡ حَسِبۡتَ أَنَّ أَصۡحَٰبَ ٱلۡكَهۡفِ وَٱلرَّقِيمِ كَانُواْ مِنۡ ءَايَٰتِنَا عَجَبًا ﴾
[الكَهف: 9]

Bali unadhani ya kwamba wale Watu wa Pangoni na Maandishi walikuwa ni ajabu miongoni mwa ishara zetu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أم حسبت أن أصحاب الكهف والرقيم كانوا من آياتنا عجبا, باللغة السواحيلية

﴿أم حسبت أن أصحاب الكهف والرقيم كانوا من آياتنا عجبا﴾ [الكَهف: 9]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Usidhani kwamba kisa cha watu wa pangoni (asḥāb al-kahf) na ubao ulioandikwa majina yao ni jambo geni la ajabu miongoni mwa alama zetu. Kuumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake ni jambo la ajabu zaidi kuliko hilo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek