×

(Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako Mlezi ili 19:19 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Maryam ⮕ (19:19) ayat 19 in Swahili

19:19 Surah Maryam ayat 19 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 19 - مَريَم - Page - Juz 16

﴿قَالَ إِنَّمَآ أَنَا۠ رَسُولُ رَبِّكِ لِأَهَبَ لَكِ غُلَٰمٗا زَكِيّٗا ﴾
[مَريَم: 19]

(Malaika) akasema: Hakika mimi ni mwenye kutumwa na Mola wako Mlezi ili nikubashirie tunu ya mwana aliye takasika

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال إنما أنا رسول ربك لأهب لك غلاما زكيا, باللغة السواحيلية

﴿قال إنما أنا رسول ربك لأهب لك غلاما زكيا﴾ [مَريَم: 19]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Malaika akawmambia, «Kwa hakika, mimi ni mjumbe wa Mola wako, Amenituma kwako nikutunuku mtoto wa kiume aliyesafika na madhambi.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek