Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 18 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿قَالَتۡ إِنِّيٓ أَعُوذُ بِٱلرَّحۡمَٰنِ مِنكَ إِن كُنتَ تَقِيّٗا ﴾
[مَريَم: 18]
﴿قالت إني أعوذ بالرحمن منك إن كنت تقيا﴾ [مَريَم: 18]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Maryam akasema kumwambia, «Mimi najilinda kwa Mwenyezi Mungu na wewe usinifanye ubaya, iwapo wewe ni miongoni mwa wanaomcha Mwenyezi Mungu.» |