Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 72 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿ثُمَّ نُنَجِّي ٱلَّذِينَ ٱتَّقَواْ وَّنَذَرُ ٱلظَّٰلِمِينَ فِيهَا جِثِيّٗا ﴾
[مَريَم: 72]
﴿ثم ننجي الذين اتقوا ونذر الظالمين فيها جثيا﴾ [مَريَم: 72]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha tutawaokoa wale ambao walimcha Mola wao kwa kumtii na kujiepusha na kumuasi na tuwaache Motoni wale waliojidhulumu nafsi zao katika hali ya kupiga magoti |