×

Hasha! Tutaandika anayo yasema, tutamkunjulia muda wa adhabu 19:79 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Maryam ⮕ (19:79) ayat 79 in Swahili

19:79 Surah Maryam ayat 79 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 79 - مَريَم - Page - Juz 16

﴿كـَلَّاۚ سَنَكۡتُبُ مَا يَقُولُ وَنَمُدُّ لَهُۥ مِنَ ٱلۡعَذَابِ مَدّٗا ﴾
[مَريَم: 79]

Hasha! Tutaandika anayo yasema, tutamkunjulia muda wa adhabu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: كلا سنكتب ما يقول ونمد له من العذاب مدا, باللغة السواحيلية

﴿كلا سنكتب ما يقول ونمد له من العذاب مدا﴾ [مَريَم: 79]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mambo siyo kama vile alivyodai yule kafiri, kwani yeye hana ujuzi wala hakupewa ahadi. Tutatayaandika anayoyasema ya urongo na uzushi juu ya Mwenyezi Mungu, na huko Akhera tutamuongezea aina mbali mbali za mateso, kama alivyojiongezea upotovu na upotevu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek