Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 82 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿كـَلَّاۚ سَيَكۡفُرُونَ بِعِبَادَتِهِمۡ وَيَكُونُونَ عَلَيۡهِمۡ ضِدًّا ﴾
[مَريَم: 82]
﴿كلا سيكفرون بعبادتهم ويكونون عليهم ضدا﴾ [مَريَم: 82]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mambo sivyo kama wanavyodai. Hawa waungu hawatakuwa ni nguvu kwao, lakini waungu hawa watawaruka huko Akhera kuwa waliwaabudu wao na watakuwa ni wenye kusaidia katika kuteta na wao na kuwakanusha , kinyume na vile walivyodhania juu yao |