Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 83 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿أَلَمۡ تَرَ أَنَّآ أَرۡسَلۡنَا ٱلشَّيَٰطِينَ عَلَى ٱلۡكَٰفِرِينَ تَؤُزُّهُمۡ أَزّٗا ﴾
[مَريَم: 83]
﴿ألم تر أنا أرسلنا الشياطين على الكافرين تؤزهم أزا﴾ [مَريَم: 83]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Je, huoni, ewe Mtume, kwamba sisi tumewasaliti Mashetani juu ya wenye kumkanusha Mwenyezi Mungu na Mitume Wake, ili wawapoteze na wawaondoe kutoka kwenye utiifu kuwapeleka kwenye uasi |