Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 84 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿فَلَا تَعۡجَلۡ عَلَيۡهِمۡۖ إِنَّمَا نَعُدُّ لَهُمۡ عَدّٗا ﴾
[مَريَم: 84]
﴿فلا تعجل عليهم إنما نعد لهم عدا﴾ [مَريَم: 84]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi usiwafanyie haraka, ewe Mtume, kwa kutaka adhabu iwashukie hawa makafiri, kwa kweli sisi tunahesabu umri wao na matendo yao hesabu isiyo na kasoro wala ukawiaji |