Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 179 - البَقَرَة - Page - Juz 2
﴿وَلَكُمۡ فِي ٱلۡقِصَاصِ حَيَوٰةٞ يَٰٓأُوْلِي ٱلۡأَلۡبَٰبِ لَعَلَّكُمۡ تَتَّقُونَ ﴾
[البَقَرَة: 179]
﴿ولكم في القصاص حياة ياأولي الألباب لعلكم تتقون﴾ [البَقَرَة: 179]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hakika katika kuwekwa sheria ya kisasi na utekelezaji wake kwa kutarajia kufikia uchaji Mwenyezi Mungu na kumuogopa kwa kumtii daima, kuna maisha ya amani kwenu, enyi wenye akili timamu |