×

Na mlipo muuwa mtu, kisha mkakhitalifiana kwayo, na Mwenyezi Mungu ni mwenye 2:72 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:72) ayat 72 in Swahili

2:72 Surah Al-Baqarah ayat 72 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 72 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿وَإِذۡ قَتَلۡتُمۡ نَفۡسٗا فَٱدَّٰرَٰٔتُمۡ فِيهَاۖ وَٱللَّهُ مُخۡرِجٞ مَّا كُنتُمۡ تَكۡتُمُونَ ﴾
[البَقَرَة: 72]

Na mlipo muuwa mtu, kisha mkakhitalifiana kwayo, na Mwenyezi Mungu ni mwenye kuyatoa hayo mliyo kuwa mkiyaficha

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإذ قتلتم نفسا فادارأتم فيها والله مخرج ما كنتم تكتمون, باللغة السواحيلية

﴿وإذ قتلتم نفسا فادارأتم فيها والله مخرج ما كنتم تكتمون﴾ [البَقَرَة: 72]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Kumbukeni, mlipomuua mtu, mkabishana kuhusu yeye, akawa kila mmoja ajiepushia nafsi yake tuhuma ya kuua na hali Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyafichua yale ambayo mlikuwa mkiyaficha kuhusu kifo cha yule aliyeuawa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek