×

Na anaye tenda mema, naye ni Muumini, basi hatakhofu kudhulumiwa wala kupunjwa 20:112 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ta-Ha ⮕ (20:112) ayat 112 in Swahili

20:112 Surah Ta-Ha ayat 112 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 112 - طه - Page - Juz 16

﴿وَمَن يَعۡمَلۡ مِنَ ٱلصَّٰلِحَٰتِ وَهُوَ مُؤۡمِنٞ فَلَا يَخَافُ ظُلۡمٗا وَلَا هَضۡمٗا ﴾
[طه: 112]

Na anaye tenda mema, naye ni Muumini, basi hatakhofu kudhulumiwa wala kupunjwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومن يعمل من الصالحات وهو مؤمن فلا يخاف ظلما ولا هضما, باللغة السواحيلية

﴿ومن يعمل من الصالحات وهو مؤمن فلا يخاف ظلما ولا هضما﴾ [طه: 112]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na mwenye kufanya matendo mema na hali yeye anamuamini Mola wake, hataogopa maonevu ya kuongezwa maovu yake wala unyanyasaji wa kupunguziwa mema yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek