Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 129 - طه - Page - Juz 16
﴿وَلَوۡلَا كَلِمَةٞ سَبَقَتۡ مِن رَّبِّكَ لَكَانَ لِزَامٗا وَأَجَلٞ مُّسَمّٗى ﴾
[طه: 129]
﴿ولولا كلمة سبقت من ربك لكان لزاما وأجل مسمى﴾ [طه: 129]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na lau si neno litokalo kwa Mola wako na muda uliotajwa mbele Yake, wangalipata maangamivu yenye kulazimiana na wao hapa ulimwenguni, kwa kuwa wao wanastahili kuyapata kwa sababu ya ukafiri wao |