Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 133 - طه - Page - Juz 16
﴿وَقَالُواْ لَوۡلَا يَأۡتِينَا بِـَٔايَةٖ مِّن رَّبِّهِۦٓۚ أَوَلَمۡ تَأۡتِهِم بَيِّنَةُ مَا فِي ٱلصُّحُفِ ٱلۡأُولَىٰ ﴾
[طه: 133]
﴿وقالوا لولا يأتينا بآية من ربه أو لم تأتهم بينة ما في﴾ [طه: 133]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na walisema wenye kukukanusha, ewe Mtume, «Basi si utuletee alama itokayo kwa Mola wako yenye kuonesha ukweli wako?» Kwani hikuwajia hii Qur’ani yenye kuisadukisha haki iliyomo kwenye Vitabu vilivyopita?» |