Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 7 - طه - Page - Juz 16
﴿وَإِن تَجۡهَرۡ بِٱلۡقَوۡلِ فَإِنَّهُۥ يَعۡلَمُ ٱلسِّرَّ وَأَخۡفَى ﴾
[طه: 7]
﴿وإن تجهر بالقول فإنه يعلم السر وأخفى﴾ [طه: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ukitoa sauti, ewe Mtume, katika kusema ukaifanya ya juu au ya chini, basi hakuna chochote kinachofichika kwa Mwenyezi Mungu, Anajua siri na kilichofichika zaidi kuliko siri katika vitu ambavyo nafsi yako inakuzungumzia |