Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 102 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿لَا يَسۡمَعُونَ حَسِيسَهَاۖ وَهُمۡ فِي مَا ٱشۡتَهَتۡ أَنفُسُهُمۡ خَٰلِدُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 102]
﴿لا يسمعون حسيسها وهم في ما اشتهت أنفسهم خالدون﴾ [الأنبيَاء: 102]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hawatasikia sauti ya mroromo wake na kuchomeka kwa miili humo, kwani wameshakaa kwenye nyumba zao huko Peponi na wamekuwa ni wenye kukaa makao ya milele katika starehe na ladha zake zinazotamaniwa na nafsi zao |