×

Ama wale ambao wema wetu umewatangulia, hao watatenganishwa na hayo 21:101 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:101) ayat 101 in Swahili

21:101 Surah Al-Anbiya’ ayat 101 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 101 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ سَبَقَتۡ لَهُم مِّنَّا ٱلۡحُسۡنَىٰٓ أُوْلَٰٓئِكَ عَنۡهَا مُبۡعَدُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 101]

Ama wale ambao wema wetu umewatangulia, hao watatenganishwa na hayo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن الذين سبقت لهم منا الحسنى أولئك عنها مبعدون, باللغة السواحيلية

﴿إن الذين سبقت لهم منا الحسنى أولئك عنها مبعدون﴾ [الأنبيَاء: 101]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kwa hakika, wale ambao kimetangulia kwetu sisi kitangulizi chema katika ujuzi wetu kuwa watakuwa ni watu wa Peponi, hao wataepushwa na Moto, hawataungia wala hawatakuwa karibu nao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek