Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 12 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿فَلَمَّآ أَحَسُّواْ بَأۡسَنَآ إِذَا هُم مِّنۡهَا يَرۡكُضُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 12]
﴿فلما أحسوا بأسنا إذا هم منها يركضون﴾ [الأنبيَاء: 12]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Walipoiyona, madhalimu hawa, adhabu yetu kali ikiwashukia na wakaziona ishara zake, wakitahamaki wakawa wanakimbia kwa haraka kutoka mjini mwao |