Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 110 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿إِنَّهُۥ يَعۡلَمُ ٱلۡجَهۡرَ مِنَ ٱلۡقَوۡلِ وَيَعۡلَمُ مَا تَكۡتُمُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 110]
﴿إنه يعلم الجهر من القول ويعلم ما تكتمون﴾ [الأنبيَاء: 110]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika Mwenyezi Mungu Anayajua mnayoyadhihirisha miongoni mwa maneno yenu na mnayoyaficha ndani ya nyoyo zenu, na Atawahesabu kwayo |