Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 14 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿قَالُواْ يَٰوَيۡلَنَآ إِنَّا كُنَّا ظَٰلِمِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 14]
﴿قالوا ياويلنا إنا كنا ظالمين﴾ [الأنبيَاء: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hawakuwa na majibu yoyote isipokuwa ni kukubali makosa yao na kusema, «Ee maangamivu yetu! Tumejidhulumu nafsi zetu kwa ukafiri wetu.» |