Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 59 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿قَالُواْ مَن فَعَلَ هَٰذَا بِـَٔالِهَتِنَآ إِنَّهُۥ لَمِنَ ٱلظَّٰلِمِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 59]
﴿قالوا من فعل هذا بآلهتنا إنه لمن الظالمين﴾ [الأنبيَاء: 59]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na watu wakarudi na wakawaona masanamu wao wamevunjwa- vunjwa na wametwezwa. Hapo wakaulizana wao kwa wao, «Ni nani aliyefanya haya kwa waungu wetu? Huyo, kwa kweli, ni dhalimu kwa kuwa na ujasiri juu ya waungu wanaostahiki kuheshimiwa na kutukuzwa.» |