Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 64 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿فَرَجَعُوٓاْ إِلَىٰٓ أَنفُسِهِمۡ فَقَالُوٓاْ إِنَّكُمۡ أَنتُمُ ٱلظَّٰلِمُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 64]
﴿فرجعوا إلى أنفسهم فقالوا إنكم أنتم الظالمون﴾ [الأنبيَاء: 64]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo wakatahayari na ukawafunukia wazi upotevu wao, vipi wanawaabudu na ilhali wao wanashindwa kujitetea wenyewe kitu chochote wala kuwajibu mwenye kuwauliza? Na wakakubali wenyewe kuwa wamefanya udhalimu na ushirikina |