Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 68 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿قَالُواْ حَرِّقُوهُ وَٱنصُرُوٓاْ ءَالِهَتَكُمۡ إِن كُنتُمۡ فَٰعِلِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 68]
﴿قالوا حرقوه وانصروا آلهتكم إن كنتم فاعلين﴾ [الأنبيَاء: 68]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ilipopomoka hoja yao na ukweli ukajitokeza, waliamua kutumia uwezo wao na wakasema, «Mchomeni Ibrāhīm kwa moto mkionesha hasira kwa ajili ya waungu wenu, iwapo nyinyi ni wenye kuwasaidia basi washeni moto mkubwa na mumtupe ndani yake.» |