×

Na pia mashet'ani wanao mpigia mbizi na kufanya kazi nyenginezo. Na Sisi 21:82 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:82) ayat 82 in Swahili

21:82 Surah Al-Anbiya’ ayat 82 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 82 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿وَمِنَ ٱلشَّيَٰطِينِ مَن يَغُوصُونَ لَهُۥ وَيَعۡمَلُونَ عَمَلٗا دُونَ ذَٰلِكَۖ وَكُنَّا لَهُمۡ حَٰفِظِينَ ﴾
[الأنبيَاء: 82]

Na pia mashet'ani wanao mpigia mbizi na kufanya kazi nyenginezo. Na Sisi tulikuwa walinzi wao

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومن الشياطين من يغوصون له ويعملون عملا دون ذلك وكنا لهم حافظين, باللغة السواحيلية

﴿ومن الشياطين من يغوصون له ويعملون عملا دون ذلك وكنا لهم حافظين﴾ [الأنبيَاء: 82]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na tulimdhalilishia Sulaymān, kati ya mashetani, mashetani ambao alikuwa akiwatuma kufanya yale ambayo wasiokuwa wao wanashindwa nayo, walikuwa wakipiga mbizi baharini wakimtolea lulu na johari, na walikuwa wakimtengenezea vitu avitakavayo kwao, hawakuwa wakiweza kukataa kufanya ayatakayo kutoka kwao. Mwenyezi Mungu Amewahifadhi kwa nguvu Zake na enzi Yake , kutakata na sifa za upungufu ni Kwake na kutukuka ni Kwake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek