Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 49 - الحج - Page - Juz 17
﴿قُلۡ يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّاسُ إِنَّمَآ أَنَا۠ لَكُمۡ نَذِيرٞ مُّبِينٞ ﴾
[الحج: 49]
﴿قل ياأيها الناس إنما أنا لكم نذير مبين﴾ [الحج: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, ewe Mtume, «Enyi watu! Mimi si kuwa isipokuwa ni muonyaji kwenu mwenye kumfikishia Mwenyezi Mungu ujumbe Wake |