Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 112 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿قَٰلَ كَمۡ لَبِثۡتُمۡ فِي ٱلۡأَرۡضِ عَدَدَ سِنِينَ ﴾
[المؤمنُون: 112]
﴿قال كم لبثتم في الأرض عدد سنين﴾ [المؤمنُون: 112]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na watu waovu wataulizwa wakiwa Motoni, «Mlisalia miaka mingapi ulimwenguni? Na mlipoteza mangapi huko ya kumtii Mwenyezi Mungu?» |