Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 113 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿قَالُواْ لَبِثۡنَا يَوۡمًا أَوۡ بَعۡضَ يَوۡمٖ فَسۡـَٔلِ ٱلۡعَآدِّينَ ﴾
[المؤمنُون: 113]
﴿قالوا لبثنا يوما أو بعض يوم فاسأل العادين﴾ [المؤمنُون: 113]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watasema kwa kituko cha Kisimamo na ukali wa adhabu, «Tulikuwa huko kwa siku moja au sehemu ya siku. Waulize washika hesabu wenye kuhesabu miezi na siku.» |