Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 13 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿ثُمَّ جَعَلۡنَٰهُ نُطۡفَةٗ فِي قَرَارٖ مَّكِينٖ ﴾
[المؤمنُون: 13]
﴿ثم جعلناه نطفة في قرار مكين﴾ [المؤمنُون: 13]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha tukawaumba watoto wake wakiwa ni wenye kuzaana kutokana na tone la maji: nalo ni manii ya wanaume, yanatoka kwenye migongo yao na yanatulia ndani ya zao za wanawake |