×

Kwa maji hayo tukakufanyieni bustani za mitende na mizabibu, mnapata humo matunda 23:19 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:19) ayat 19 in Swahili

23:19 Surah Al-Mu’minun ayat 19 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 19 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿فَأَنشَأۡنَا لَكُم بِهِۦ جَنَّٰتٖ مِّن نَّخِيلٖ وَأَعۡنَٰبٖ لَّكُمۡ فِيهَا فَوَٰكِهُ كَثِيرَةٞ وَمِنۡهَا تَأۡكُلُونَ ﴾
[المؤمنُون: 19]

Kwa maji hayo tukakufanyieni bustani za mitende na mizabibu, mnapata humo matunda mengi, na katika hayo mnakula

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فأنشأنا لكم به جنات من نخيل وأعناب لكم فيها فواكه كثيرة ومنها, باللغة السواحيلية

﴿فأنشأنا لكم به جنات من نخيل وأعناب لكم فيها فواكه كثيرة ومنها﴾ [المؤمنُون: 19]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Tukawafanyia kwa maji haya mashamba ya mitende na mizabibu, mukawa nayo nyinyi kutokana na mashamba hayo matunda ya aina nyingi na sampuli mbalimbali, na katika hayo munakula
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek