×

Na mti utokao katika mlima wa Sinai, unatoa mafuta na kuwa kitoweo 23:20 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:20) ayat 20 in Swahili

23:20 Surah Al-Mu’minun ayat 20 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 20 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿وَشَجَرَةٗ تَخۡرُجُ مِن طُورِ سَيۡنَآءَ تَنۢبُتُ بِٱلدُّهۡنِ وَصِبۡغٖ لِّلۡأٓكِلِينَ ﴾
[المؤمنُون: 20]

Na mti utokao katika mlima wa Sinai, unatoa mafuta na kuwa kitoweo kwa walao

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وشجرة تخرج من طور سيناء تنبت بالدهن وصبغ للآكلين, باللغة السواحيلية

﴿وشجرة تخرج من طور سيناء تنبت بالدهن وصبغ للآكلين﴾ [المؤمنُون: 20]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na tukawatolea nyinyi kwa maji hayo mizaituni ambayo inatoka kandokando ya jabali la Tūr Ṣīnā’ ambao unakamuliwa mafuta ya kujipaka na kutumia kwa chakula
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek