×

Na tukamfanya mwana wa Mariamu na mama yake kuwa ni Ishara, na 23:50 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:50) ayat 50 in Swahili

23:50 Surah Al-Mu’minun ayat 50 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 50 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿وَجَعَلۡنَا ٱبۡنَ مَرۡيَمَ وَأُمَّهُۥٓ ءَايَةٗ وَءَاوَيۡنَٰهُمَآ إِلَىٰ رَبۡوَةٖ ذَاتِ قَرَارٖ وَمَعِينٖ ﴾
[المؤمنُون: 50]

Na tukamfanya mwana wa Mariamu na mama yake kuwa ni Ishara, na tukawapa makimbilio kwenda mahali palipo inuka penye utulivu na chemchem za maji

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وجعلنا ابن مريم وأمه آية وآويناهما إلى ربوة ذات قرار ومعين, باللغة السواحيلية

﴿وجعلنا ابن مريم وأمه آية وآويناهما إلى ربوة ذات قرار ومعين﴾ [المؤمنُون: 50]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na tulimjaalia Īsā mwana wa Maryam na mamake ni alama yenye kuonesha uweza wetu, kwani tulimuumba bila ya baba, na tulimfanyia makao kwenye ardhi iliyopo mahali pa juu palipolingana ili apate utulivu juu yake, penye urutuba na maji yapitayo yanayoonekana waziwazi kwa macho
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek