Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 52 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿وَإِنَّ هَٰذِهِۦٓ أُمَّتُكُمۡ أُمَّةٗ وَٰحِدَةٗ وَأَنَا۠ رَبُّكُمۡ فَٱتَّقُونِ ﴾
[المؤمنُون: 52]
﴿وإن هذه أمتكم أمة واحدة وأنا ربكم فاتقون﴾ [المؤمنُون: 52]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika Dini yenu, enyi Mitume, ni Dini moja, nayo ni Uislamu, na mimi ni Mola wenu niogopeni kwa kufuata maamrisho yangu na kujiepusha na makatazo yangu |