×

Lakini walikatiana jambo lao mapande mbali mbali. Kila kundi likifurahia kwa waliyo 23:53 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:53) ayat 53 in Swahili

23:53 Surah Al-Mu’minun ayat 53 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 53 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿فَتَقَطَّعُوٓاْ أَمۡرَهُم بَيۡنَهُمۡ زُبُرٗاۖ كُلُّ حِزۡبِۭ بِمَا لَدَيۡهِمۡ فَرِحُونَ ﴾
[المؤمنُون: 53]

Lakini walikatiana jambo lao mapande mbali mbali. Kila kundi likifurahia kwa waliyo nayo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فتقطعوا أمرهم بينهم زبرا كل حزب بما لديهم فرحون, باللغة السواحيلية

﴿فتقطعوا أمرهم بينهم زبرا كل حزب بما لديهم فرحون﴾ [المؤمنُون: 53]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wafuasi walipambanukana katika dini wakawa makundi na mapote, wakaifanya dini yao kuwa dini nyingi baada ya kuamrishwa wajikusanye pamoja. Kila kundi linajigamba kwa maoni yake, linadai kuwa kundi hilo liko kwenye haki na lingine liko kwenye batili. Katika haya pana onyo la kujiweka kwenye makundi na kupambanukana katika Dini
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek