Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 54 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿فَذَرۡهُمۡ فِي غَمۡرَتِهِمۡ حَتَّىٰ حِينٍ ﴾
[المؤمنُون: 54]
﴿فذرهم في غمرتهم حتى حين﴾ [المؤمنُون: 54]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi waache , ewe Mtume, kwenye upotevu wao na ujinga wao wa kutoijua haki hadi pale adhabu itakapowashukia |