×

Basi wote hao ndio wanao kimbilia katika mambo ya kheri, na ndio 23:61 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:61) ayat 61 in Swahili

23:61 Surah Al-Mu’minun ayat 61 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 61 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿أُوْلَٰٓئِكَ يُسَٰرِعُونَ فِي ٱلۡخَيۡرَٰتِ وَهُمۡ لَهَا سَٰبِقُونَ ﴾
[المؤمنُون: 61]

Basi wote hao ndio wanao kimbilia katika mambo ya kheri, na ndio watakao tangulia kuyafikia

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أولئك يسارعون في الخيرات وهم لها سابقون, باللغة السواحيلية

﴿أولئك يسارعون في الخيرات وهم لها سابقون﴾ [المؤمنُون: 61]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hao wanaojibidiisha kutii, dasturi yao ni kukimbilia kufanya kila kitendo chema, na wao kwa kuyaendea mambo mema ni wenye kutangulia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek