Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 92 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿عَٰلِمِ ٱلۡغَيۡبِ وَٱلشَّهَٰدَةِ فَتَعَٰلَىٰ عَمَّا يُشۡرِكُونَ ﴾
[المؤمنُون: 92]
﴿عالم الغيب والشهادة فتعالى عما يشركون﴾ [المؤمنُون: 92]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Yeye, Peke Yake, Ndiye Anayejua yanayofichika kwa viumbe vyake na wanayoyaona. Basi Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Ameepukana na mshirika ambaye wanadai kuwa Anaye |